top of page

Dawa za ujauzito kundi A

ULY CLINIC

26.04.2020

Dawa zimeonyesha hazina madhara kwa kichanga tumboni kutokana na tafiti zilizofanyika kwa binadamu

Dawa hizi zimeonyesha hazina madhara kwa kichanga tumboni kutokana na tafiti zilizofanyika kwa binadamu

Mfano wa dawa kwenye kundi hii ni;

• Evothyroxine
• Folic acid
• Liothyronine
• Amoxicillin

bottom of page