top of page
Dawa za ujauzito kundi B
ULY CLINIC
26.04.2020
Kwa tafiti za wanyama dawa zimeonyesha hazina madhara kwa kichanga, hakuna tafiti zilizofanyika kwa binadamu au tafiti kwa wanyama zimeonyesha madhara ila kwa binadamu hazijaonyesha madhara kwa kichanga
Kwa tafiti za wanyama dawa zimeonyesha dawa kundi B hazina madhara kwa kichanga, hakuna tafiti zilizofanyika kwa binadamu au tafiti kwa wanyama zimeonyesha madhara ila kwa binadamu hazijaonyesha madhara kwa kichanga.
Mfano wa dawa zilizo kwenye kundi hili ni;
• Metformin
• Hydrochlorothiazide
• Cyclobenzaprine
• Amoxicillin(miezi mitatu ya mwisho)
• Amoxyclavu
• Cefotaxime
bottom of page