top of page
Dawa za ujauzito kundi C

ULY CLINIC
26.04.2020
Hakuna tafiti za kutosha zilizofanyika kwa binadamu au wanyama, au tafiti zimefanyika kwa wanyama na kuonyesha madhara lakini kwa binadamu hakuna tafiti zilizofanyika
Hakuna tafiti za kutosha zilizofanyika kwa binadamu au wanyama, au tafiti zimefanyika kwa wanyama na kuonyesha madhara lakini kwa binadamu hakuna tafiti zilizofanyika.
Baadhi ya dawa zilizo kwenye kundi hili ni;
• Gabapentin
• Amlodipine
• Trazodone
• Aspirin
• Loperamide
• Paracetamol
• Theophylline
• Rifampicin
• Triamcinolone
bottom of page