top of page
Dawa za ujauzito kundi D

ULY CLINIC
26.04.2020
Ushahidi wa madhara kwa kichanga kwa binadamu upo lakini faida ya kutumia dawa inaweza kuwa kubwa kuliko madhara kwa mtoto endapo mfano(ugonjwa wa kufisha mama,ugonjwa mbaya amabapo dawa salama haziwezi kutibu ila ile isiyo salama inaweza)

Mfano wa dawa zilizo kwenye kundi hili ni;
• Losartan
• Diclofenac
• Aspirin kipindi cha miezi mitatu ya mwisho ya ujauzito
• Paroxetine
• Phenytoin
• Tetracycline
bottom of page