top of page
Dawa za ujauzito kundi X

ULY CLINIC
26.04.2020
Imethibitishwa Madhara ni makubwa kwa mtoto kuliko faida zinazoweza kupatikana kwa matumizi ya dawa kipindi cha ujauzito.
Imethibitishwa Madhara ni makubwa kwa mtoto kuliko faida zinazoweza kupatikana kwa matumizi ya dawa kipindi cha ujauzito.
Baadhi ya dawa zilizo kwenye kundi hili ni;
• Atorvastatin
• Simvastatin
• Methotrexate
• Finasteride
• Isotretinoin
• Leflunomide
• Thalidomide
bottom of page