top of page

Wewe ni Mtaalamu wa Afya na unataka kazi?

​

ULY clinic ina miradi mbalimbali ya kuwawezesha wataalamu wa afya kutoa tiba popote pale walipo kwa jina la ULY clinic. 

 

Kutokana na kuaminiwa na watu wengi ULY clinic inaweza kukupatia kazi mbalimbali kupitia project ya Home basedcare na Mobile clinic. Kazi unazoweza kufanya ni za muda mrefu na muda mfupi na zinaweza kuwa;

  • Kazi za kitaaluma

  • Kazi zisizo za kitaaluma

​

Kwa taarifa zaidi ingia Tuma ujumbe "Naomba kazi" kwenda kwenye email info@ulyclinic.com

                                                Na

Pakua app yetu sasa hapa kwa maelezo zaidi na makala za kiafya bonyeza hapa

​

Karibu sana

​

​

bottom of page