top of page

Imeandikwa na daktari wa ulyclinic

Anemia

Anemia ni neno lililotokana na neno la kigiriki anaimia linalomaanisha “kutokuwa na damu mwilini” hivyo anemia hutumika kumaanisha upungufu wa damu mwilini.

 

Upungufu huu hupimwa kwa kuangalia kiwango cha hemoglobin kulingana na umri wa mtu na jinsia yake. Anemia inaweza kuwa ya nomositiki, maikrositiki na makrositiki kutokana na visababishi. Soma Zaidi kuhusu anemia kwenye tovuti hii.

Soma zaidi kuhusu upungufu wa damu kwa kubonyeza hapa

Muulize daktari wako endapo una dalili hii kwa ushauri, uchunguzi na tiba

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri vipimo na tiba bonyeza hapa au piga namba za simu chini ya tovuti hii

Imeboreshwa 10.03.2020

Rejea

  1. Dictionary.com. imetolewa kwenye nakala ya awali siku ya 14 Julai 2014. Na kupitiwa tena 7 July 2019.

  2. Ulyclinic

bottom of page