top of page
Imeandikwa na daktari wa ulyclinic
Anoreksia
Anoreksia limetokana na neno la kizungu anorexia lililotoholewa kutoka neno la kigiriki “anorexis”, neno “an-” lina maanisha bila, na neno “orexis” hamu ya kula likatengeneza neno la bila hamu ya kula au likijulikana sana tatizo la kukosa hamu ya kula.
Anoreksia ni dalili inayoweza kusababishwa na hali au magonjwa mbalimbali mwilini. Lakini kikubwa ni saratani, magonjwa sugu na magonjwa ya madhaifu ya kula.
Muulize daktari wako endapo una dalili hii kwa ushauri, uchunguzi na tiba
Imeboreshwa 10.03.2020
Rejea
-
Ulyclinic
-
Oxford English dictionary
bottom of page