top of page
Imeandikwa na daktari wa ulyclinic
Asaitiz
Asaitiz ni neno la Kiswahili lililotokana na neno la kigiriki askites
Katika tiba, neno hili humaanisha mkusanyiko wa maji kwenye caviti ya peritoniamu. Inawezekana maji yametokana na matatizo ndani ya peritoniamu (kama kusababishwa na magonjwa ya bakteria, fangazi, na parasait), saratani ya asaitizi) na magonjwa mengine kama endometriosisi, au peritonaitis ya wanga) na magonjwa mengine nje ya caviti ya peritoniamu kama vile sirosisi, moyo kufeli, haipoalbuminemia, mayoksidima na magonjwa ya ovari mfano sindromu ya Meig.
Muulize daktari wako siku zote endapo una dalili hii kwa ushauri, uchunguzi na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote mwenyewe
Imeboreshwa 10.03.2020
Rejea
-
Oxford dictionary
-
Ulyclinic
bottom of page