top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, M.D
Mhariri:
Dkt. Peter A, M.D
Dawa za kutibu fangasi
10 Julai 2023, 10:36:46
Dawa za kutibu maambukizi ya fangasi huitwa antifango, zipo aina nyingi za dawa za antifango, dawa hizi hufanya kazi kwa kuua fangasi au kuzuia uzalianaji katika mwili wa binadamu. Kuna baadhi ya dawa zinaweza kutumika kama dozi moja tu na zingine hutumika kwa muda mrefu ikitegemea hali ya mgonjwa na aina ya ugonjwa unaotibiwa.Â
Â
Zipo dawa ambazo ni nzuri kwa watoto wadogo tu na watu wazima.
Bofya dawa unayoitaka kusoma kwa maelezo zaidi.
​​​
Amphotericin B
Butoconazole
Capsofungin
Ciclopiro
Econazole
Flucytosine
Griseofulvin
Naftifine hydrochloride
Nystatin
Oxiconazole nitrate
Sulconazole nitrate
Terbinifine
Tioconazole
Tolnaftate
Voriconazole​
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
10 Julai 2023, 18:52:46
BNF 2019
bottom of page