Imeandikwa na ULY CLINIC
20 Septemba 2021 15:07:31
Sindromu ya Reiter’s
Sindromu ya Reiter’s ni sindromu yenye staha inayowapata sana wanaume, huonekana na dalili za urethraitiz kali na hutokea wiki 1 hadi 2 baada ya kufanya ngono.
Husababisha pia michomo kinga kwenye maungio ya mwili yasiyofanana (kanyagio, goti na mguu) konjaktivaitiz ya jicho moja au yote na vidonda kwenye ukuta wa ndani wa kinywa, kichwa cha uume, viganja na vidonda kwenye.
Majina mengine ya sindromu ya reiter's ni 'athraitizi ya mwitikio'
visababishi
Bakteria kadhaa wanaweza kusababisha sindromu ya reiter’s, baadhi yake huambukiwa kwa njia ya ngono na wengine kwa njia ya kula chakula ambao ni;
Chlamydia
Salmonella
Shigella
Yersinia
Campylobacter
Clostridium difficile
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia namba za simu au kwa kubonyeza 'Pata tiba' chini ya tovuti hii
Imeboreshwa,
7 Februari 2022 19:20:08
Rejea za mada hii
National Institute of Arthritis and Musculoskeletal and Skin Diseases. Reactive arthritis. http://www.niams.nih.gov/health_info/Reactive_Arthritis/default.asp. Imechukuliwa 20/09.2021
Yu DT. Reactive arthritis. http://www.uptodate.com/home. Imechukuliwa 20/09.2021
American College of Rheumatology. Reactive arthritis. http://www.rheumatology.org/I-Am-A/Patient-Caregiver/Diseases-Conditions/Reactive-Arthritis. Imechukuliwa 20/09.2021
Arthritis Foundation. What is reactive arthritis?. http://www.arthritis.org/about-arthritis/types/reactive-arthritis/. Imechukuliwa 20/09.2021
Apoorva Cheeti, et al.Reactive arthraits. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/books/NBK499831/. Imechukuliwa 20/09.2021
Alebiosu, C O et al. “Reiter's syndrome--a case report and review of literature.” African health sciences vol. 4,2 (2004): 136-8.