top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

ULY Clinic inakushauri kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Maumivu ya kitovu

Maumivu ya kitovu

Maumivu ya kitovu ni hali kupata hisia za maumivu au bugudha katika eneo la kitovu. Hali hii inaweza kuwa ya muda mfupi au ya muda mrefu na inaweza kusababishwa na hali za kawaida au zinazohitaji matibabu ya haraka.

Shinikizo la juu la damu

Shinikizo la juu la damu

Shinikizo la juu la damu hutokea pale endapo msukumo wa damu umeongezeka kutokana na sababu mbalimbali.

Dalili za gono kwa mwanaume

Dalili za gono kwa mwanaume

Dalili za gono kwa mwanaume huwa za wastani na huweza kuchanganywa na magonjwa mengine mfano UTI

Maumivu ya uke wakati wa tendo

Maumivu ya uke wakati wa tendo

Mauivu makali ya uke wakati wa kujamiana ni dalili au kiashiria cha tatizo fulani lililopo mwilini. Baadhi ya matatizo maarufu ni pamoja ni magonjwa ya zinaa, PID na sababu za kimaumbile.

Macho mekundu

Macho mekundu

Macho mekundu ni dalili inayojitokeza sana, mara nyingi chanzo chae ni maambukizi pamoja na mzio katika macho.

bottom of page