top of page

Dawa 02

Mhariri:

Dawa Clonazepam

Ni dawa jamii ya benzodiazepine inayofanya kazi kwa muda mrefu katika matibabu yamagonjwa ya kutaharuki, wasiwasi na degedege.

Mhariri:

Dawa Clorazepate

Clorazepate ni dawa kundi la benzodiazepine inayotumika kutibu na kuzuia degedege na wasiwasi uliopitiliza.

Mhariri:

Dawa Ethosuximide

Ethosuximide ni moja kati ya dawa inayotumika kuzuia na kupunguza degedege lisiloonekana na la petit mal.

Mhariri:

Dawa Ethotoin

Ethotoin ni moja kati ya dawa inayotumika kuzuia na kupunguza degedege la toniki kloniki na degedege la kutoonekana.

Mhariri:

Dawa Ezogabine

Ezogabine ni moja kati ya dawa inayotumika kukinga na kupunguza degedege linaloanzia sehemu moja ya ubongo.

bottom of page