Alpinia officinarum ni mmea wenye asili ya bara la Asia, hata hivyo kwa sasa hupatikana maeneo mengi duniani. Watu wamekuwa wakitumia mmea huu kama dawa ya kuongeza hamu ya kula, kuondoa kichefucheu, kupunguza maumivu ya baridi yabisi au maumivu ya osteoathraitizi.