Dawa za damu na virutubishi
​
1. Anemia- Upungufu wa damu
-
Anemia ya Haipoplastiki, hemolitiki, na reno
-
Hemolitiki yuremiki sindromu
-
Parokzisimo Noktyuno Hemoglobinuria
-
Upungufu wa damu kutokana na kukosa madini chuma
-
Anemia ya megaloblastiki
2. Kuzidi kwa madini chuma
3. Nutropenia
4. Madhaifu ya chembe sahani za damu
​
-
Thrombosaitopenia ya esensho
-
Idiopathiki thrombosaitopeniki papura
​
5. Magonjwa ya chakula na kimetboriki
6. Kutowiana kwa maji na madini mwilini
-
Kupotea uwiano wa kalisiamu
-
Haipakalsemia na haipakalsiyuria
-
Haipokalsemia
​
7. Kushuka kwa shinikizo la damu
8. Kupotea kwa usawia wa magneziamu
-
Haipomagnesaemia
9. Kupotea kwa usawia wa Fosfeti
-
Haipofosfatemia
-
Haipafosfatemia
10.Kupotea kwa uwiano wa potasiamu
-
Haipakalemia
-
Haipokalemia
10. Madhaifu ya kimetaboriki
-
Pofairis ya muda mfupi
-
Upungufu wa carnitine
11. Sistinosis ya nefrotiki
12. Ugonjwa wa fabry’s
13. Ugonjwa wa Gaucher’s
14. Hemosistonyuria
15. Haipofosfatasia
16. Myukopolisakaraidi
17. Ugonjwa wa Nieman pick type C
18. Ugonjwa wa pompe
19. Tairosinemia
20. Magonjwa mzugnuko way uremia
21. Ugonjwa wa wilson’s
22. Upungufu wa selenium
23. Upungufu wa zinki
24. Chakula maalumu kwa mgonjwa wa fenailketonyuria
25. Upungufu wa vitamin
26. Kujikinga na magonjwa ya nyurotyubu