Nenda dawa za mfumo wa chakula
Imeandikwa na daktari wa ULY clinic
Ugonjwa wa seliak ni ugonjwa ulio kwenye kundi la magonjwa ya inflamatori bawel yanayosababisha vindonda kwenye mfumo wa chakula.
Ugonjwa huu huathiri kuta za ndani za mfumo wa chakula na rektamu. Dalili za ugonjwa hutokea taratibu, na pia hauna tiba ya kuondoa tatizo. Matibabu hulenga kupunguza dalili na ishara zinazojitokeza.
Baadhi ya dalili za ugonjwa huu ni;
-
Kuharisha kinyesi chenye makamasi au damu
-
Maumivu ya tumbo ya kubana
-
Maumivu ya rektamu
-
Kutokwa na damu njia ya haja kubwa wakati wa haja kubwa
-
Konstipesheni
-
Kupoteza uzito
-
Kuchoka
Dawa zinazotumika katika matibabu ya asaletive kolaitiz ni pamoja na;
Dawa za ant-iflamatori na kotikosteroid kama
-
Mesalamine
-
Balsalazide
-
Olsalazine
Dawa za kushusha kinga za mwii mfano
-
Azathioprine
-
Mercaptopurine
-
Cyclosporine
-
Methotrexate
-
Infliximab
-
Adalimumab
-
Golimumab
-
Natalizumab
-
Vedolizumab
-
Ustekinumab
Dawa za anti-biotiki
-
Ciprofloxacin
-
Metronidazole
Dawa zingine za kuongeza vitamin na madini na kuondoa maumivu na kuharisha
-
Psyllium powder
-
Methylcellulose
-
Loperamide
-
Acetaminophen
-
Naproxen sodium
-
Diclofenac sodium
-
Madini ya Kalisiamu
Wasilianana daktari wako siku zote kabla ya kuchukua hatua yoyote ya kutumia dawa hizi.