Imeandikwa na daktari wa ULY clinic
​
Dawa za kutibu ugonjwa wa crohn
Utangulizi
​
Ugonjwa wa crohn ni ugonjwa mojawapo wa Inflamatori bawel ambao husababisha michomo sehemu mbalimbali za kwenye njia za mfumo wa chakula.
Michomo hii huweza kuzama ndani ya kuta za njia za mfumo wa chakula na kuleta madhara makubwa kama vile maumivu makali ya tumbo , tatizo sugu la kuharisha, uchovu, kupoteza uzito na utapiamlo. Dalili kwa Watoto mbali na zilizotajwa hapo juu huweza Kuwa pamoja na maumivu ya tumbo, damu kwenye kinyesi, tumbo kujaa na kuchelewa kuua.
Hakuna kisababishi ambacho kinafahamika kusababisha ugonjwa huu, matumizi ya dawa kulingana na maelekezo ya daktari wako yanaweza kudhibiti dalili na kupoza dalili kwa muda mrefu na hivyo kuendelea na Maisha kama kawaida.
​
Dawa za anti- inflamatori kama
-
Budesonide
-
Prednisone
-
Sulfasalazine
-
5-Aminosalicyclate
Dawa za kushusha kinga za mwili
-
Azathioprine
-
Mercaptopurine
-
Infliximab
-
Adalimumab
-
Certolizumab pegol
-
Methotrexate
-
Natalizumab
-
Vedolizumab
-
Ustekinumab
-
Ustekinumab
​
Dawa za kuzuia kuharisha
-
Psyllium powder
-
Methylcellulose
-
Loperamide
Dawa za maumivu
-
Acetaminophen
-
Ibuprofen
-
Naproxen sodium
​
Madini na vitamin
​
ULY- CLinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako siku zote kabla ya kuchukua hatua ypoyote kwenye tiba.
​