top of page

Dawa za mfumo wa kadiovaskula

​

Dawa za mfumo wa kadiovasikula ni dawa zinazotumika kutibu matatizo mbalimbali katika mfumo unaohusisha moyo na mishipa ya damu, zikiwa pamoja na dawa za kutibu Shinikizo la juu la damu(haipateshen), shinikizo la chini la damu (Haipotensheni), arithmia, aresti ya kadiaki.

 

Bonyeza kipengele unachotaka kuona dawa kwenye kundi husika  na kusoma maelezo zaidi.

​

Dawa zilizoorodheshwa hapa ni zile za kutibu au Kudhibiti;

​

1. Arithmia

​

2.Magonjwa ya kutokwa na damu

    2.1 Upungufu wa fakta za koagulasheni

    2.2 Hemoreji ya sabarakinoidi

​

3. Damu kuganda

    3.1 Thromboembolizimu

    3.2 Kuziba kwa katheta na mishipa ya damu

​

4 Hali ya shinikizo la damu

   4.1 Haipatensheni

       4.1 a Haipatensheni inayotokana na feochromosaitoma

       4.1 b Klaisis ya haipatensheni

       4.1 c Haipatensheni ya palimonari

​

  4.2 Haipotesheni na shoku

​

5 Moyo kuferi

​

6 Haipalipidemia

​

7 Isichemia ya mayokadia

   7.1 Sindromu ya akuti koronari

      7.1 a Aresti ya kadiaki

​

8 Idima

​

9 Magonjwa ya vasikula

   9.1 Malfomashen ya Vein

​

Usitumie dawa yoyote bila maelekezo na kuandikiwa na daktari wako

​

Pata ushauri na tiba kutoka kwa daktari wa ULY clinic kwa kubonyeza hapa

bottom of page