top of page

Dawa ujauzto na kunyonyesha

Dawa ujauzito na kunyonyesha ni kurasa maalumu ya ushauri kuhusu usalama wa dawa kwa wapenzi wanaotarajia kupata ujauzito, wenye ujauzito na wale wanaonyonyesha. Kurasa mada za dawa kwenye linki ya kurasa hii zimezungumzia kiundani kuhusu dawa gani ni salama, zipi zinapaswa kutumika na zipi hazipaswi kutumika na madhara yake katika kipindi kabla ya ujauzito,  wakati  wa ujauzito na kipindi cha kunyonyesha.

 

Bofya dawa ili kusoma zaidi dawa zinazotumika kila siku kuona kama zinafaa kwenye ujauzito au wakati wa kunyonyesha. Kwa maswali zaidi tumia mawasiliano chini ya tovuti hii.

Zidovudine na ujauzito

Delavirdine na ujauzito

Efavirenz na ujauzito

Rifampin na ujauzito

Didanosine na ujauzito

Adefovir na ujauzito

Rifapentine na ujauzito

Rifabutin na ujauzito

Pyrazinamide na ujauzito

Isoniazid na ujauzito

Ethionamide na ujauzito

Trimethoprim na ujauzito

bottom of page