top of page

Ugonjwa na dawa

Kurasa hii utajifunza kuhusu dawa na ugonjwa unaotibiwa na dawa hiyo. Wasiliana na daktari wako kabla ya kutumia dawa yoyotee ile ili kuepuka madhara na usugu wa dawa mwilini mwako. Kumbuka siku zote kuwa dawa ni sumu kwenye mwili wako endapo haitatumika bila ushauri wa daktari

Dawa ya harufu mbaya kinywani

Dawa ya harufu mbaya kinywani

Makala hii inachambua chanzo cha harufu mbaya kutoka kooni na ugumu wa kumeza, ikihusisha magonjwa ya koo, tumbo na yale ya mfumo mzima wa mwili. Inasisitiza umuhimu wa uchunguzi wa mapema na matibabu sahihi ili kuzuia matatizo makubwa zaidi.

Dawa ya kuzuia kuharisha kwa haraka

Dawa ya kuzuia kuharisha kwa haraka

Makala hii inaeleza dawa mbalimbali zinazotumika kuzuia kuharisha kwa haraka kama Loperamide, Racecadotril, Probiotics na antibiotiki kulingana na chanzo. Inatoa tahadhari za kiafya na wakati wa kumwona daktari.

Dawa za kukausha vidonda ukeni

Dawa za kukausha vidonda ukeni

Dawa za kukausha vidonda ukeni zipo katika makundi mbali mbali kulingana na kisababishi

Dawa za kukausha vidonda kwenye uume

Dawa za kukausha vidonda kwenye uume

Kuna makundi mengi ya dawa za kukausha vidonda kwenye uume kulingana na kisababishi. Makundi hayo ni dawa za kukausha vidonda vya bakteria, virusi na fangasi.

Dawa ya vibarango kwa watoto

Dawa ya vibarango kwa watoto

Dawa za kutibu vibarango kwa watoto ni dawa za fangasi ambazo hutolewa kwa kuzingatia uzito.

bottom of page