top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD

Dawa ya kushusha phosphate kwenye damu kutokana na figo kufeli

8 Juni 2021, 13:43:49
Image-empty-state.png

​ Wagonjwa wa figo iliyofeli hupata tatizo la kuzidi kwa kiwango cha madini phosphate kwenye damu kutokana na figo kushindwa kuchuja na kutoa kwenye mkojo kiwango cha kutosha.


Dawa za kupunguza kiwango cha phosphate kwenye damu


  • Sevelamer

  • Sucralfate

  • Lanthanum carbonate

  • Ferric citrate

  • Sucroferric oxyhydroxide

  • Lanthanum carbonate

  • Ferric citrate

  • Magnesium carbonate

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
10 Julai 2023, 10:16:39
1. Medications for Hyperphosphatemia of Renal Failure. https://www.drugs.com/condition/hyperphosphatemia-of-renal-failure.html. Imechukuliwa 08.06.2021
bottom of page