top of page
Mwandishi:
Dkt. Sospeter M, M.D
Mhariri:
Dkt. Benjamin L, MD
Dawa za fangasi wa ulimi
11 Julai 2023, 10:08:38
Matibabu ya fangasi wa mdomoni na kwenye ulimi huhusisha matumizi ya dawa za kuua fangasi zinazoitwa antifangus. Uchaguzi wa dawa hutegemea aina ya fangasi na mwitikio wake kwenye dawa.
Orodha ya dawa
Dawa zinazoweza kutumika ni;
​
Amphotericin BÂ au
Â
Maambukizi sugu au makali huhitaji matumizi ya dawa kwa njia ya sindano. Mgonjwa asipopona fangasi kwa njia ya kunywa daktari anaweza kukuandikia sindano au kukubadilishia dawa baada ya vipimo.
​
Kumbuka:
​
Dawa zilizoorodheshwa hapo juu hutumika kwa kuandikiwa na daktari tu
Matumizi ya dawa pasipo kuandikiwa na daktari hupelekea usugu wa kimelea dhidi ya dawa hiyo
Vimelea vikitengeneza usugu kwenye dawa, dawa hiyo haitafaa kamwe kwenye mwili wako kwa matibabu
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
11 Julai 2023, 10:08:38
BNF 2021
bottom of page