top of page
Mwandishi:
Dkt. Mangwella S, MD
Mhariri:
Dkt. Salome A, M.D
Dawa za nimonia
11 Julai 2023, 08:46:24
Nimonia inaweza kusababishwa na maambukizi ya bakteria, fungasi, na protozoa, hivyo dawa zilizoorozeshwa hapa chini nyingi hutumiwa na wataalamu wa afya katika matibabu ya nimonia iliyosababishwa na bakteria.
Â
Cefepime
Imipenem
Moxifloxacin
Azithromycin
Levofloxacin
Vancomycin
Ampicillin
Ceftriaxone
Piperacillin
Ceftaroline
Lemafumili
Delafloxacin
Moxifloxacin
Amphotericine B
Fluconazole
Itraconazole
Voriconazole
Posaconazole
Isavuconazole
Echinocandins
Majina mengine
Makala hii imejibu pia kuhusu
Dawa za kutibu pneumonia
Dawa za pneumonia Dawa za nimonia za hospitali
Dawa za nimonia kutokana na bakteria
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
11 Julai 2023, 08:46:24
BNF 2021
bottom of page