top of page

Ugonjwa na dawa

Kurasa hii utajifunza kuhusu dawa na ugonjwa unaotibiwa na dawa hiyo. Wasiliana na daktari wako kabla ya kutumia dawa yoyotee ile ili kuepuka madhara na usugu wa dawa mwilini mwako. Kumbuka siku zote kuwa dawa ni sumu kwenye mwili wako endapo haitatumika bila ushauri wa daktari

Dawa za kutibu kuharisha

Dawa za kutibu kuharisha

Dawa za kuzuia kuharisha mara nyingi haziruhusiwi kutumika kwa sababu huzuia mwili kuondoa uchafu ambao hutoka kama uharo, dawa za kutibu chanzo zinapaswa kutumika.

Dawa za kuzuia maambukizi ya VVU baada ya hatari

Dawa za kuzuia maambukizi ya VVU baada ya hatari

Hufahamika kwa jina la PEP, huzuia maambukizi baada ya kuwa kwenye kihatarishi.ndani ya masaa 72. Kabla ya kutumia dawa hizi utafanyiwa vipimo kuangalia kama una maambukizi.

Dawa za kutibu Gauti

Dawa za kutibu Gauti

Dawa za gauti zinafanya kazi kwa kuzuia kufanyika kwa mawe kwenye figo na magoti ambayo husababisha kutokea kwa maumivu ya ugonjwa wa gauti.

Dawa za Tinea Nigra

Dawa za Tinea Nigra

Maambukizi ya fungasi kwenye viganja vya mikono na miguu kwa jina jingine hufahamika kama Tinea Nigra husababishwa na fungasi anayefahamika kwa jina la Hortaea werneckii .

Dawa za fangasi maeneo ya siri

Dawa za fangasi maeneo ya siri

Fangasi wa maeneo ya siri ni fungasi wanaoathiri ngozi ya maeneo yanayofunikwa na chupi yaani maeneo ya juu ya mapaja, kinena, makalioni, katikati ya mapaja, viungo vya siri.

bottom of page