top of page

Ugonjwa na dawa

Kurasa hii utajifunza kuhusu dawa na ugonjwa unaotibiwa na dawa hiyo. Wasiliana na daktari wako kabla ya kutumia dawa yoyotee ile ili kuepuka madhara na usugu wa dawa mwilini mwako. Kumbuka siku zote kuwa dawa ni sumu kwenye mwili wako endapo haitatumika bila ushauri wa daktari

Dawa za kutibu presha

Dawa za kutibu presha

Shinikizo la juu la damu ni hali inayotokea endapo shinikizo la damu la systolic lipo Kati ya 120 na 129 na diastolic Chini ya 80 Hadi 89 na hutibiwa kwa dawa za aina mbalimbali.

Dawa za kutibu kisukari

Dawa za kutibu kisukari

Dawa za kutibu kisukari hutegemea aina ya kisukari ambazo zipo mbili, kisukari aina ya kwanza na kisukari aina ya pili, kisukari aina ya kwanza hutibiwa kwa homoni insulin.

Dawa za kutibu fangasi

Dawa za kutibu fangasi

Dawa za kutibu fagasi hufanya kazi kwa kuua, kuzuia ufanyaji kazi au kuzuia uzalianaji wa fangazi.

Dawa ya kiungulia

Dawa ya kiungulia

Dawa ya kiungulia humaanisha dawa za kutuliza maumivu yanayotokea katikati ya kifua na wakati mwingine husambaa kuelekea mgongoni.

Dawa ya chembe ya moyo

Dawa ya chembe ya moyo

Dawa ya chembe ya moyo katika makala hii imemaanisha dawa za kutuliza maumivu yanayotokea sehemu ya chini ya miishio ya fupa titi.

bottom of page