Dawa za kushusha homa
Dawa zenye uwezo wa kupunguza homa lakini hazitibu kisababishi cha homa ni pamoja na;
Dawa kundi la ‘Non steroid ant inframatory drugs’
Mifano yake
-
Ibuprofen
-
Naproxen
-
Ketoprofen
-
Nimesulide
-
Aspirin
-
Choline salicylate
-
Magnesium salicylate,
-
Sodium salicylate
-
Phenazone
Dawa ya acetaminophen inayofahamika kwa jina la kibiashara kama;
-
Paracetamol
-
Panadol
Baadhi ya dawa hupatikana kwenye muunganiko wa dawa mbili au tatu kutoka kwenye makundi mbalimbali.
Dawa jamii ya acetaminophen au ibuprofen ni nzuri na rahisi kutumia.
Dawa hizi hufanya kazi harayaya kushusha homa ndani ya muda mfupi na hudumu kwenye damu kwa muda wa masaa manne mpaka nane tangu umetumia dawa hizi
Kumbuka
-
Acetaminophen inaweza kutumika kwa watoto chini ya umri wa miaka miwili, lakini si kwa watoto walio chini ya umri wa miezi mitatu
-
Watoto chini ya umri wa miezi sita wanaweza kutumia dawa ya ibuprofen.
-
Watoto walio chini ya miaka miwili hawapaswi kutumia dawa ya aspirin
ULY CLINIC inakukumbusha, siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri zaidi na tiba inayoendana na afya yako kabla ya kuchukua hatua ya kutumia dawa yoyote ziliyotajwa hapa.
Kumbuka. Matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari huweza sababisha madhara makubwa, usugu wa dawa au kifo
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa suhauri nzaidi ya Tiba kupitia Linki ya pata tiba au kwa kutumia namba za simu chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii;
-
Peter Axelrod . External Cooling in the Management of Fever. https://academic.oup.com/cid/article/31/Supplement_5/S224/334708. Imechukuliwa 15.02.2021
-
Yvette C. Terrie et al. Managing Fever with Antipyretics. https://www.pharmacytimes.com/publications/issue/2012/september2012/managing-fever-with-antipyretics#. Imechukuliwa 15.02.2021
-
Fever. Merck Manual for Health Care Professionals website. www.merckmanuals.com/professional/infectious_diseases/biology_of_infectious_disease/fever.html. Imechukuliwa 16.02.2021
-
Sullivan JE, Farrar HC; the Section on Clinical Pharmacology and Therapeutics, Committee on Drugs. Fever and antipyretic use in children. Pediatrics. 2011;127(3):580-587.
-
How to take your child’s temperature. Pfizer’s Advil website. http://childrens.advil.com/how-to-take-your-childs-temperature. Imechukuliwa 16.02.2021
-
FDA issues final guidance for liquid OTC drug products with dispensing devices. FDA website. www.fda.gov/NewsEvents/Newsroom/PressAnnouncements/ucm2540210.htm. Imechukuliwa 16.02.2021