top of page
Mwandishi:
Dkt. Sospeter B, MD
Mhariri:
Dkt. Salome A, MD

Dawa za kusimamisha uume kwa muda mrefu

10 Julai 2023, 11:46:41
Image-empty-state.png

Dawa za kusimamisha uume kwa muda mrefu hufanya kazi kwa kuongeza mzunguko wa damu katika uume. Dawa za kusimamisha uume kwa muda mrefu huwa ni pamoja na

​

Dawa za kumeza

  • Sildenafil

  • Vardenafil

  • Tadalafil

  • Avanafil

​

Dawa za kuchoma

​

Endapo dawa za kumeza hazifanyi kazi ipasavyo basi unaweza kutumia dawa za kuchoma chini ya Ngozi ambazo ni;

​

  • Alprostadil

  • Phentolamine

  • Papaverine

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
10 Julai 2023, 18:53:56
BNF 2019
bottom of page