Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC
Dawa za kutibu hepatitis B
Kirusi cha Hepatitis B ni kirusi kinachosababisha ugonjwa wa homa ya Ini ujulikanao kama homa ya Hepatitis B( au Hepatitis B). Dawa za kutibu hepataitiz B iliyo sugu zimeorodheshwa hapa chini. Soma zaidi kuhusu uonjwa wa Hepatitis B kwa kubonyeza hapa. Unaweza kusoma pia kuhusu dawa husika kwa kuibonyeza dawa hiyo
Dawa za kutibu Hepatitis B iliyo sugu ni pamoja na;
-
Entecavir
-
Telbivudine
-
Adefovir dipivoxil
-
Tenofovir alafenamide
-
Peginterferon alfa
-
Mchanganyiko wa Elbasvir na grazoprevir
-
Daclatasvir
-
Mchanganyiko wa Ombitasvir, Paritaprevir na Ritonavir
-
Ribavirin
-
Mchanganyiko wa Ledipasvir na sofosbuvir
-
Sofosbuvir
-
Mchanganyiko wa Sofosbuvir na Velpatasivir
-
Mchanganyiko wa Glecaprevir na pibrentasvir
-
Dasabuvir
Imeboreshwa, 27.06.2020
ULY CLINIC inakushauri siku zote utafute msaada kutoka kwa daktari wako au mtaalamu wa afya kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale yanayodhuru afya yako.
Rejea za mada hii
-
BNF 76 toleo la September march 2018-2019