Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, M.D
Mhariri:
Dkt. Peter A, M.D
Dawa za kutibu kisukari
10 Julai 2023, 11:00:39
Dawa za kutibu kisukari hutegemea aina ya kisukari ambazo zipo mbili, kisukari aina ya kwanza na kisukari aina ya pili, kisukari aina ya kwanza hutibiwa kwa homoni insulin. Hii ni homoni inayoongeza matumizi ya sukari kwenye chembe mbalimbali mwilini na kisukari aina ya pili hutibiwa kwa dawa.
Dawa ya kutibu kisukari aina ya kwanza
Dawa za kutibu kisukari aina ya pili
1. Alpha-glucosidase inhibitors
2. Biguanides
Metformin-alogliptin (Kazano)
3. Dopamine agonist
Bromocriptine
4. Dipeptidyl peptidase-4 (DPP-4) inhibitors
Alogliptin (Nesina)
Linagliptin (Tradjenta)
Saxagliptin (Onglyza)
Sitagliptin (Januvia)
5. Glucagon-like peptide-1 receptor agonists (GLP-1 receptor agonists)
Albiglutide (Tanzeum)
Dulaglutide (Trulicity)
Exenatide (Byetta)
Liraglutide (Victoza)
Semaglutide (Ozempic)
6. Meglitinides
Nateglinide (Starlix)
Repaglinide (Prandin)
7. Sodium-glucose transporter (SGLT) 2 inhibitors
Dapagliflozin (Farxiga)
Canagliflozin (Invokana)
Empagliflozin (Jardiance)
Ertugliflozin (Steglatro)
8. Sulfonylureas
Glimepiride (Amaryl)
Glyburide (diabeta, Glynase, Micronase)
Chlorpropamide (Diabinese)
Tolazamide (Tolinase)
Tolbutamide (Orinase, Tol-Tab)
9. Thiazolidinediones
Rosiglitazone (Avandia)
Pioglitazone(Actos)