top of page
Mwandishi:
DKt. Benjamin L, M.D
Mhariri:
Dkt. Peter A, M.D
Dawa za maambukizi masikioni-watoto
11 Julai 2023, 08:28:39
Dawa za kutibu maambukizi masikioni katika makala hii zimemaanisha dawa zinazotibu maambukizi yaliyosabaishwa na bakteria.
​
Dalaja la kwanza
Amoxicillin
Ceftriaxone
Amoxiclav
Ciprofloxacin
Ofloxacin
Dawa daraja la pili
Cefdinir
Cefpodoxime
Cefuroxime
Kwa wenye mizio na dawa hizi wanaweza kutumia
Azithromycine
Clarithromycine
Â
Maambukizi ya kujirudia
Maambukizi ya kujirudia ya masikio au kushindwa kwa matibabu ya dawa za awali, mgonjwa anaweza kupewa dawa zifuatazo baada ya vipimo.​
Amoxicillin/clavulanate
Cefdinir
Cefpodoxime
Cefprozil
Cefuroxime
Ceftriaxone
​Maambukizi sugu
Endapo maambukizi hayatoweki kabisa au yamejirudia mara nyingi dawa zifuatazo huwa zinatumika baada ya vipimo.
Ceftriaxone
Clindamycin
​
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
11 Julai 2023, 08:32:25
BNF 2021
bottom of page