top of page

Imeandikwa na daktari wa ulyclinic

 

Maumivu ya jino au michomo kutokana na shambulio la kinga za mwili husababishwa mara nyingi  na maambukizi kinywani. Hata hivyo maumivu ya jino yanaweza kusababishwa na tatizo lisilo la moja Kwa moja kutoka kwenye jino bali ikawa ishara ya kwamba sehemu nyingine ya mwili haipo Sawa. Soma Zaidi mada hii kwa kubonyeza hapa. Hata hivyo dawa za kuondoa maumivu ya jino zinaweza kuwa zile za kuondoa maumivu kwa haraka au taratibu. 

Kumbuka kuwasiliana na daktari wako kabla ya kuanza kutumia dawa ili upate ushauri wa dawa gani inakufaa.

 

 Dawa za kuondoa maumivu ya jino ni pamoja na;

​

  • Dawa ya kupulizia, mafuta au maji ya Benzocaine

  • Benzocaine/menthol

  • Paracetamol

  • Ibrupofen

  • Diclofenac

  • Aspirin

  • Tetracaine

  • Lidocaine

  • Naproxen

  • Celecoxib

​

Kumbuka dawa hizi hazipaswi kutumiwa pasipo maelekezo ya daktari kwa sababu zina madhara endapo zitatumiwa Kwa namna isiyo sahihi.

​

​

Imeboreshwa 11.2.2020

bottom of page