Mwandishi:
Dkt. Sospeter B, MD
Mhariri:
Dkt. Peter A, M.D
Dawa za kutibu presha
10 Julai 2023, 11:15:49
Makala hii imezungumzia dawa za kutibu ama kushusha presha au kwa jina jingine dawa za  kushusha shinikizo la juu la damu.
Shinikizo la juu la damu ni hali inayotokea endapo shinikizo la damu la systolic lipo Kati ya 120 na 129 na diastolic Chini ya 80 Hadi 89 , shinikizo la damu hatua ya Kwanza hutokea endapo shinikizo la systolic Kati ya 130 Hadi 139 mmHg na shinikizo la diastolic kuwa Kati ya 80 Hadi 89mmHg
​
Orodha ya dawa
Dawa zinazotumika kutibu shinikizo la damu ni kama zilivyoorozeshwa hapa chini;
​
Hydrochlorothiazide(microzide)
Chlorthalidone
Metolazone
Indapamide
Triamteren
Amiloride
Furosemide
Torsemide
Bumetanide
Ramipril
Fosinopril
Captopril
Enalapril
Lisinopril
Quinapril
Lorsatan
Valsatan
Azilsartan
Eprosartan
Olmesartan
Atenolol
Metoprolol
Propranolol
Bisoprolol
Timolol
Labetalol
Carvedilol
Acebutolol
Pindolol
Hydralazine
Minoxidil
Nifedipine
Clevidipine
Amlodipine
Felodipine
Diltiazem
Aldosterone(spironolactone)
Verapamil
Eplerenon
Spironolactone
Methyldopa
Guanfacine
Aliskiren
Prazosin
Doxazosinn
Terazosin
Reserpine