top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Lugonda B, MD
Dawa za maumivu ya U.T.I
11 Julai 2023, 10:36:20
​
Dawa za kutibu maumivu ya U.T.I ni zle zinazotumika kutibu maumivu ya mkojo wakati wa kukojoa kwa wagonjwa weye UTI.
Phenazopyridine ni dawa inayofahamika mpaka sasa kwa kazi hiyo, inashauriwa itumike na chakula na isitumike kwa zaidi ya siku mbili, na itumike na dawa za kutibu UTI. Kuhusu matumizi kwa wazee wasiliana na daktari wako kwa kuwa hutumika kulingana na hali ya figo na ini.
Orodha ya dawa
Phenazopyridine
​
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
11 Julai 2023, 11:17:48
BNF 2021
bottom of page