Imeandikwa na ULY CLINIC
Macho makavu
​
Maumivu sugu kwenye macho huambatana na kupungua kwa uzalishaji wa machozi au uzalishaji hafifu wa machozi mara nyingi huitikia kwenye dawa zakuongeza uzalishaji wa machozi. Hatua ya ugonjwana uchaguzi wa mgonjwa utakuongoza kuchagua dawa nzuri. Dawa kama hypromellose ni dawa asilia inayotumika kuongeza uzalishaji wa machozi.
​
-
Acetylcysteine
-
Carmellose sodium
-
Carbomers
-
Hypromellose
-
Hydroxyethylcellulose
-
Hydroxypropyl guar na polyethylene
-
Glycol na propylene glycol
-
Hypromellose na dextran 70
-
Polyvinyl alcohol
-
Liquid paraffin na white soft
-
paraffin na wool alcohols
-
Retinol palmitate na white soft
-
Mafuta ya taa na light liquid paraffin
-
liquid paraffin na wool fat
-
Paraffin, yellow, soft
-
Sodium chloride
-
Sodium hyaluronate
-
Sodium hyaluronate na trehalose
-
Soybean oil