top of page

Fomu ya Historia ya kutofika Kileleni

Maelezo yako yatamsaidia daktari kufahamu tatizo lako na kukupa matibabu yanayoendana nawewe. Taarifa utakazotuma ni siri baina yako na daktari anayekuhudumia. Tunazingatia sera yetu ya usiri katika hatua zote z kuchakata taarifa zako za kiafya.

Andika namba ya simu kwa kuanza na kodi ya nchi, Mfano kwa Tanzania anza na +255

6. Je, umewahi kujichua kwa mikono ili kufika kileleni?
7.Je, umewahi kufika kileleni kwa kujamiana?
8. Je, kila unapojichua unafika kileleni?
9. Je, umewahi kuumia kifaa mbadala mbali na uume au uke kukufikisha kileleni?

Toa maelezo kama umejibu Ndio kwenye swali lililopita

11. Je, kila unapotumia kifaa hicho unafika kileleni?
12. Je, una mahusiano mazuri na mpenzi wako?
14. Je, mpenzi wako anafahamu kuwa hujawahi kufika kileleni?
15. Umeshawahi kutumia dawa yoyote ile kutibu kujifikisha kileleni?

Mfano

  1. Parasetamo vidonge viwili mara tatu kwa siku

  2. Diclofenac kidonge kimoja mara mbili kwa siku

Lina muda gani na umefanya nini mpaka sasa kutatua changamoto hii

18. Je, katika kipindi cha miezi 12 iliyopita, umekuwa na mahusiano ya kingono na watu wangapi?

Chagua jibu kwa kbofya kiboksi husika

19. Je, mahusiano yako ya kingono ni ya jinsia gani?

Chagua kama unajihusisha na ngono ya ke kwa ke, ke kwa me au mchanganyiko wa jinsia zote.

20. Je, unaingia hedhi kawaida? ( kwa mwanamke)

Chagua haihuiki kama wewe ni mwanaume au ni mwanamke lakini hujawahi kuingia hedhi.

21. Je, mzunguko wako wa hedhi ni wa siku ngapi?
21
25
26
28
29
30
32
36
38
40
42
45
Haupo kwenye orodha

Jibu swali kama ni jinsia ya kike

Mabadiliko ya kubarehe au kuvunja ungo ni kama kuota kwa nywele kwenye maeneo ya siri, kwapani, sauti nzito kwa mwanaume, au nyororo kwa mwanamke, kukua kwa matiti, n.k

23. Je, unapata maumivu wakati wa kujamiana?
25. Je, maumbile yako ya siri yapo kawaida?

Maumbile ya siri yanahusisha uke (kwa mwanamke), uume na via vingine vinavyohusika na uzazi.

Maumbile yasiyo ya kawaida ni kama vile,

  1. Kuhisi uke mkubwa au uume mkubwa

  2. Kuhisi uke mdogo au uume mdogo(kibamia)

  3. Kuwa na maumbile tofauti na watu wengine

27. Umewahi kufanyiwa ukatili wowote wa kijinsia?

Ukatili wa kijinsia ni kama ubakwa n.k

29. Umeshawahi ugua magonjwa ya zinaa?

Magonjwa ya zinaa ni magonjwa yanayoeneza kwa kujamiana kama Pangusa, Ukimwi, Kisonono, Gogo, Homa ya Malengelenge sehemu za siri n.k. Baadhi ya dalili za magonjwa ya zinaa ni kutokwa na ute usio wa kawaida kwenye uke au uume,, maumivu wakati wa kujamiana, kutokwa damu wakati wa kujamiana, kutokwa na shahawa zenye damu n.k

Jibu swali hili kama umejibu Ndio kwenye swali namba 29 hapo juu.

31. Je unatatizo la maumivu ya muda mrefu katika mfumo wa uzazi?

Mfumo wa uzazi kwa mwanamke unahussha via vilivyo ndnai ya nyonga chini ya kitovu, kwa mwanaume unahusisha uume, korodani na mirija inayoingia kwenye korodani.

Jibu swali hili kama umejibu Ndio kwenye swali namba 31

Madhaifu ya kuzaliwa ni kama vile, madhaifu ya mdomo sungura, kuzaliwa bila uke,au uume, madhaifu ya kuzaliwa bila kizazi, korodani n.k

Eleza ni nini unatamani mtaalamu wetu wa afya akusaidie.

Saini yako inahitajika ili kuthibitisha maelezo uliyotoa

bottom of page