top of page

Historia ya Maumivu

mfano kuanguka, kuumia, au mazoezi

 mbele, nyuma, ndani au nje

Aina ya Maumivu

mfano usiku, asubuhi, baada ya kutumia goti sana

Mambo yanayochochea au kupunguza maumivu

Mfano kukimbia, kupanda ngazi, kukaa muda mrefu

Dalili zinazoambatana

Je, goti linafura au kuwa na joto?
Ndio
Hapana

Chagua kiboksi kuweka jibu lako

Kuna sauti ya “kugonga” au kushtuka unapopinda goti?
Ndio
Hapana

Bofya kiboksi kuweka jibu lako

Unahisi goti linateleza au linakataa kukunjika?
Ndio
Hapana

Bofya kiboksi kuweka jibu lako

Je, unaweza kunyoosha na kupinda goti kikamilifu?
Ndio
Hapana

Bofya kiboksi kuweka jibu lako

Historia ya awali

Umewahi kuumia goti hili kabla?
Ndio
Hapana

Bofya kiboksi kuweka jibu lako

Una historia ya mazoezi ya viungo au kazi inayohusisha kukaa/chuchumaa muda mrefu?
Ndio
Hapana

Bofya kiboksi kuweka jibu lako

Andika magonjwa hayo. mfano ni wa ugonjwa ni baridi yabisi

Matumizi ya Dawa / Tiba

Andika dawa ulizotumi

Kama umeonana na daktari andika kuhusu ushauri na matibabu aliyokupatia na kama yalifnaya kazi au la.

Mfano wa jina Januari Februari utaweka JF

Toa maoni kwa kubofya nyota. Nyota za upande wa kulia inaonyesha ubora mzuri wa huduma, za upande wa kushito huonyesha huduma ni mbaya, katikati inamaanisha ubora wa wastani

bottom of page