top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Dalili za mimba ya miezi miwili

Dalili za mimba ya miezi miwili

Mimba ya miezi miwili ni sawa na ujauzito wa wiki. Dalili zilizoonekana mwezi wa kwanza huwa maradufu

Dalili za mimba ya mwezi mmoja

Dalili za mimba ya mwezi mmoja

Mimba ya mwezi mmoja ni sawa na ujauzito wa wiki 4. Dalili kuu ni kukosa hedhi

Pombe na ujauzito

Pombe na ujauzito

Kuacha matumizi ya pombe wakati wa ujauzito ni moja ya njia ya kuzuia madhaifu ya kiuumbaji kwa kichanga sambamba na matatizo ya kiakili.

Leba bandia

Leba bandia

Leba bandia inaweza kutokea wiki 1 au 2 kabla ya leba ya kweli, wakati huu mjamzito huhisi mjongeo wa misuli ya kizazi isiyo na utaratibu inayoambatana na uchungu kidogo kuliko wa wakati wa leba ya kweli.

Dalili za hatari wakati wa ujauzito

Dalili za hatari wakati wa ujauzito

Kutokwa maji au damu ukeni, kupunguza kucheza kwa mtoto, maumivu ya kubana na kuachia kwa tumbo, kuongezeka kwa shinikizo la damu, kuvimba mwili, homa, kupoteza fahamu na kutoona vema ni miongoni mwa dalili za hatari wakati, fika hospitali haraka kwa uchunguzi.

bottom of page