Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Adolf S, M.D
5 Desemba 2024, 16:33:39
Dalili za mimba ya miezi miwili
Utangulizi
Mimba ya miezi miwili ni sawa na ujauzito wa wiki 8. Katika kipindi hiki cha ujauzito dalili ambazo huonekana katika mwezi wa kwanza wa ujauzito huongezeka makali.
Je, ni zipi dalili za ujauzito wa mwezi mmoja?
Dalili zinazoonekana katika mimba ya miezi miwili ni kama ifuatavyo;
Kuongezeka kwa hali ya kichefuchefu
Kutapika sana
Tumbo kujaa gesi
Hali ya kuchagua vyakula
Matiti kujaa na kuuma
Mate mengi mdomoni
Kubadilika badilika kwa mudi
Mambo ya kuzingatia kwa mimba ya miezi miwili
Katika ujauzito wa miezi miwili, dalili huongezeka makali na kuwa dhahiri ukilinganisha na mwezi mmoja
Katika makala hii maneno ujauzito na mimba yametumika kumaanisha kitu kimoja
Wapi utapata maelezo zaidi kuhusu mimba ya miezi miwili?
Ili kupata maelezo zaidi soma hapa mimba ya miezi miwili
ULY Clinic inakushauri uwasiliane na daktari wako siku zote kabla ya kufanya maamuzi yanayohusisha afya yako
Wasiliana na daktari wa ULY Clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kutumia namba za simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
6 Desemba 2024, 04:45:04
Rejea za dawa
1. 2 Months Pregnant: Symptoms, Belly, Baby Size. Healthline . https://www.healthline.com/health/pregnancy/2-months-pregnant#symptoms. Imechukuliwa 05.12.2024
2. Pregnancy week by week - Healthy Lifestyle. Mayo Clinic. https://www.mayoclinic.org/healthy-lifestyle/pregnancy-week-by-week/in-depth/prenatal-care/art-20045302?pg=2. Imechukuliwa 05.12.2024
3. You and your baby at 8 weeks pregnant – Pregnancy – NHS. https://www.nhs.uk/pregnancy/week-by-week/1-to-12/8-weeks/. Imechukuliwa 05.12.2024