Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Mangwella S, MD
5 Oktoba 2024, 15:21:22
Leba bandia
Leba bandia inaweza kutokea wiki 1 au 2 kabla ya leba ya kweli, wakati huu mjamzito huhisi mjongeo wa misuli ya kizazi isiyo na utaratibu inayoambatana na uchungu kidogo kuliko wa wakati wa leba ya kweli.
Viashiria | Sifa ya leba bandia |
Mjongeo wa misuli | Hisia ya kubana/kukaza kwa misuli ya tumbo la uzazihutokea bila kufuata utaratibu wowote. |
Muda wa kutokea | Muda haubadiliki, aidha unaweza kuwa mrefu au mfupi |
Kubana kwa misuli ya tumbo la uzazi | Kubana kwa tumbo la uzazi huwa hakuongezeki kwa vyovyote. |
Kupanuka kwa shingo ya kizazi | Shingo ya kizazi huwa haipanuki, hubaki chini ya sentimita 2. |
Dalili ya maumivu | Maumivu huw kiasi yasiyoongezeka ukali na hutulizwa kwa dawa za maumivu |
Wapi unaweza kupata maelezo zaidi?
Soma zaidi kuhusu leba halisi kwenye makala ya leba halisi kwa kubofya hapa
ULY Clinic inakushauri uwasiliane na daktari wako siku zote kabla ya kufanya maamuzi yanayohusisha afya yako
Wasiliana na daktari wa ULY Clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kutumia namba za simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
5 Oktoba 2024, 15:30:18
Rejea za dawa
American College of Obstetricians and Gynecologists. Practice Bulletin No. 713: Antenatal corticosteroid therapy for fetal maturation. Obstetrics & Gynecology. 2017; doi: 10.1097/AOG.0000000000002237.
American College of Obstetricians and Gynecologists. Practice Bulletin No. 171: Management of preterm labor. Obstetrics & Gynecology. 2016; doi:10.1097/AOG.0000000000001711. Reaffirmed 2019.
American College of Obstetricians and Gynecologists. Practice Bulletin No. 142: Cerclage for the management of cervical insufficiency. Obstetrics & Gynecology. 2014; doi: 10.1097/01.AOG.0000443276.68274.cc.
Braxton Hicks.https://www.webmd.com/baby/true-false-labor. Imechukuliwa 05.10.2024
Conde-Agudelo A, et al. Vaginal progesterone is as effective as cervical cerclage to prevent preterm birth in women with a singleton gestation, previous spontaneous preterm birth, and a short cervix: Updated indirect comparison meta-analysis. American Journal of Obstetrics & Gynecology. 2018; doi: 10.1016/j.ajog.2018.03.028.
Cunningham FG, et al., eds. Preterm birth. In: Williams Obstetrics. 25th ed. McGraw-Hill Education; 2018. https://accessmedicine.mhmedical.com. Imechukuliwa 05.10.2024
Simhan HN, et al. Inhibition of acute preterm birth. https://www.uptodate.com/contents/search. Imechukuliwa 05.10.2024
DeCherney AH, et al., eds. Late pregnancy complications. In: Current Diagnosis & Treatment: Obstetrics & Gynecology. 12th ed. McGraw-Hill Education; 2019. https://accessmedicine.mhmedical.com. Imechukuliwa 05.10.2024
Frequently asked questions: Labor, delivery, and postpartum care FAQ087: Preterm (premature) labor and birth. American College of Obstetricians and Gynecologists. https://www.acog.org/Patients/FAQs/Preterm-Premature-Labor-and-Birth. Imechukuliwa 05.10.2024
Frequently asked questions: Labor, delivery, and postpartum care FAQ004: How to tell when labor begins. American College of Obstetricians and Gynecologists. https://www.acog.org/Patients/FAQs/How-to-Tell-When-Labor-Begins. Imechukuliwa 05.10.2024
Lockwood CJ. Preterm labor: Clinical findings, diagnostic evaluation, and initial treatment. https://www.uptodate.com/contents/search. Imechukuliwa 05.10.2024
Resnik R, et al., eds. Preterm labor and birth. In: Creasy and Resnik's Maternal-Fetal Medicine: Principles and Practice. 8th ed. Elsevier; 2019. https://www.clinicalkey.com. Accessed Oct.16, 2019.
Robinson JN, et al. Preterm birth: Risk factors, interventions for risk reduction, and maternal prognosis. https://www.uptodate.com/contents/search. Imechukuliwa 05.10.2024