Mwandishi:
Dkt. Salome A, MD
Mhariri:
Dkt. Mangwella S, MD
29 Agosti 2022 18:23:51
Wiki ya 26 ya ujauzito
Mtoto huendelea kukua na kuongezeka uzito, kwa mtoto wa kiume korodani zake huwa tayari zimeshuka kuingia kwenye kifuko cha korodani.
Nini hutokea kwa mtoto
Mtoto huendelea kukua na kuongezeka uzito
Kwa mtoto wa kiume korodani huwa zimeshuka kikamilifu kufikia mahala zinapotakiwa kuwa kama ilivyo kwa mtu mzima
Na kwa mtoto wa kike mfumo wake wa ndani wa uzazi huendelea kuimarika zaidi
Nini hutokea kwa mama
Mama huendelea kuona dalili na viashiria mbali mbali kama ilivyo kea wiki zilizopita.
Majina mengine yanayoendana na mada hii ni:
Ujauzito wa wiki 26
Mimba ya wiki 26
Wiki 26 ya mimba
Kijusi cha wiki 26
Mwonekano wa ujauzito wa wiki 26
ULY Clinic inakushauri uwasiliane na daktari wako siku zote kabla ya kufanya maamuzi yanayohusisha afya yako
Wasiliana na daktari wa ULY Clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kutumia namba za simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
23 Julai 2023 19:23:39
Rejea za dawa
American Society for Reproductive Medicine; American College of Obstetricians and Gynecologists' Committee on Gynecologic Practice. Prepregnancy counseling: Committee Opinion No. 762. Fertil Steril. 2019 Jan;111(1):32-42. [PubMed]
Berglund A, et al. Preconception health and care (PHC)-a strategy for improved maternal and child health. Ups J Med Sci. 2016 Nov;121(4):216-221. [PMC free article] [PubMed]
Annadurai K, et al. Preconception care: A pragmatic approach for planned pregnancy. J Res Med Sci. 2017;22:26. [PMC free article] [PubMed]
McClatchey T, et al. Missed opportunities: unidentified genetic risk factors in prenatal care. Prenat Diagn. 2018 Jan;38(1):75-79. [PubMed]
Ko SC, et al. Estimated Annual Perinatal Hepatitis B Virus Infections in the United States, 2000-2009. J Pediatric Infect Dis Soc. 2016 Jun;5(2):114-21. [PubMed]
Tohme RA, et al. Hepatitis B virus infection among pregnant women in Haiti: A cross-sectional serosurvey. J Clin Virol. 2016 Mar;76:66-71. [PMC free article] [PubMed]
Bhavadharini B, et al. Screening and diagnosis of gestational diabetes mellitus - relevance to low and middle income countries. Clin Diabetes Endocrinol. 2016;2:13. [PMC free article] [PubMed]
ACOG Practice Bulletin No. 190 Summary: Gestational Diabetes Mellitus. Obstet Gynecol. 2018 Feb;131(2):406-408. [PubMed]
Rule T, et al. Introducing a new collaborative prenatal clinic model. Int J Gynaecol Obstet. 2019 Mar;144(3):248-251. [PubMed]