Mwandishi:
Dkt. Salome A, MD
Mhariri:
Dkt. Sospeter B, MD
29 Agosti 2022, 18:39:58
Wiki ya 29 ya ujauzito
Mtoto hukua na kucheza zaidi kwa kuwa nafasi huwa kubwa katika mji wa uzazi na uzito wa mama huongezeka zaidi.
Nini hutokea kwa mtoto
Huwa na urefu wa takribani sentimeta 37 na uzito wa gramu 1000
Mabadiliko makubwa hutokea katika ubongo wake ili kufanania ubongo wa mtu mzima
Huanza kupata ndoto, kukapua macho na kuonesha hisia tofauti tofauti kama vile tabasamu nk
Huanza kugeuka, asilimia kubwa ya vichanga hutanguliza kichwa
Nini hutokea kwa mama
Pamoja na mabadiliko ambayo huanza wiki ya 27, kitu cha pekee ambacho huanza kuonekana katika wiki hii ni kuhisi maumivu ambayo hutaka kufanana na uchungu (braxton-Hicks contractions), nenda kwenye makala ya uchungu kusoma zaidi kuhusu dalili za uchungu
Hali hii husababishwa na kutanuka na kusinyaa kwa misuli ya mji wa uzazi ambako huchukua muda wa sekunde 30 hadi dakika 2. Maumivu haya huwa hayana muendelezo na huwa ya kawaida japo huwa makali leba inapokaribia.
Majina mengine yanayoendana na mada hii ni:
Ujauzito wa wiki 29
Mimba ya wiki 29
Wiki 29 ya mimba
Kijusi cha wiki 29
Mwonekano wa ujauzito wa wiki 29
ULY Clinic inakushauri uwasiliane na daktari wako siku zote kabla ya kufanya maamuzi yanayohusisha afya yako
Wasiliana na daktari wa ULY Clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kutumia namba za simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
23 Julai 2023, 19:24:09
Rejea za dawa
American Society for Reproductive Medicine; American College of Obstetricians and Gynecologists' Committee on Gynecologic Practice. Prepregnancy counseling: Committee Opinion No. 762. Fertil Steril. 2019 Jan;111(1):32-42. [PubMed]
Berglund A, et al. Preconception health and care (PHC)-a strategy for improved maternal and child health. Ups J Med Sci. 2016 Nov;121(4):216-221. [PMC free article] [PubMed]
Annadurai K, et al. Preconception care: A pragmatic approach for planned pregnancy. J Res Med Sci. 2017;22:26. [PMC free article] [PubMed]
McClatchey T, et al. Missed opportunities: unidentified genetic risk factors in prenatal care. Prenat Diagn. 2018 Jan;38(1):75-79. [PubMed]
Ko SC, et al. Estimated Annual Perinatal Hepatitis B Virus Infections in the United States, 2000-2009. J Pediatric Infect Dis Soc. 2016 Jun;5(2):114-21. [PubMed]
Tohme RA, et al. Hepatitis B virus infection among pregnant women in Haiti: A cross-sectional serosurvey. J Clin Virol. 2016 Mar;76:66-71. [PMC free article] [PubMed]
Bhavadharini B, et al. Screening and diagnosis of gestational diabetes mellitus - relevance to low and middle income countries. Clin Diabetes Endocrinol. 2016;2:13. [PMC free article] [PubMed]
ACOG Practice Bulletin No. 190 Summary: Gestational Diabetes Mellitus. Obstet Gynecol. 2018 Feb;131(2):406-408. [PubMed]
Rule T, et al. Introducing a new collaborative prenatal clinic model. Int J Gynaecol Obstet. 2019 Mar;144(3):248-251. [PubMed]