Mwandishi:
Dkt. Salome A, MD
Mhariri:
Dkt. Mangwella S, MD
30 Agosti 2022 18:11:16
Wiki ya 32 ya ujauzito
Uwezo wa kupumua kwa kuvita majimaji ya amniotiki huongezeka licha ya upumuaji halisi kuanza mara tu baada ya kuzaliwa kwa mtoto.
Nini hutokea kwa mtoto
Mifumo na ogani nyingi huwa zipo katika hatua za mwisho za ukuaji ili kumuwezesha mtoto kuishi nje ya tumbo la uzazi
Uwezo wa kupumua na kutumia misuli ya upumuaji kwa kuyavuta maji ya amniotiki nje na ndani huimarika (huanza kati ya wiki 10-12),na ikumbukwe kuwa kupumua halisi huanza mara tu anapozaliwa. Hivyo anapokuwa tumboni hupata oksijeni na kutoa hewa ya kabonmonoksaidi kupitia kondo la nyuma.
Nini hutokea kwa mama
Huendelea kupata maudhi ya kipindi cha tatu cha ujauzito ambayo huongezeka siku kwa siku
Majina mengine
Majina mengine yanayoendana na mada hii ni:
Ujauzito wa wiki 32
Mimba ya wiki 32
Wiki 32 ya mimba
Kijusi cha wiki 32
Mwonekano wa ujauzito wa wiki 32
ULY Clinic inakushauri uwasiliane na daktari wako siku zote kabla ya kufanya maamuzi yanayohusisha afya yako
Wasiliana na daktari wa ULY Clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kutumia namba za simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
23 Julai 2023 19:33:19
Rejea za dawa
American Society for Reproductive Medicine; American College of Obstetricians and Gynecologists' Committee on Gynecologic Practice. Prepregnancy counseling: Committee Opinion No. 762. Fertil Steril. 2019 Jan;111(1):32-42. [PubMed]
Berglund A, et al. Preconception health and care (PHC)-a strategy for improved maternal and child health. Ups J Med Sci. 2016 Nov;121(4):216-221. [PMC free article] [PubMed]
Annadurai K, et al. Preconception care: A pragmatic approach for planned pregnancy. J Res Med Sci. 2017;22:26. [PMC free article] [PubMed]
McClatchey T, et al. Missed opportunities: unidentified genetic risk factors in prenatal care. Prenat Diagn. 2018 Jan;38(1):75-79. [PubMed]
Ko SC, et al. Estimated Annual Perinatal Hepatitis B Virus Infections in the United States, 2000-2009. J Pediatric Infect Dis Soc. 2016 Jun;5(2):114-21. [PubMed]
Tohme RA, et al. Hepatitis B virus infection among pregnant women in Haiti: A cross-sectional serosurvey. J Clin Virol. 2016 Mar;76:66-71. [PMC free article] [PubMed]
Bhavadharini B, et al. Screening and diagnosis of gestational diabetes mellitus - relevance to low and middle income countries. Clin Diabetes Endocrinol. 2016;2:13. [PMC free article] [PubMed]
ACOG Practice Bulletin No. 190 Summary: Gestational Diabetes Mellitus. Obstet Gynecol. 2018 Feb;131(2):406-408. [PubMed]
Rule T, et al. Introducing a new collaborative prenatal clinic model. Int J Gynaecol Obstet. 2019 Mar;144(3):248-251. [PubMed]