Mwandishi:
Dkt. Adolf S, MD
Mhariri:
Dkt. Benjamin L, MD
1 Septemba 2022 18:34:46
Wiki ya 37 ya ujauzito
Mambo ya kufahamu
Huashiria miezi tisa ya ujauzito ambapo zinakuwa zimesalia wiki 3 tu kufikia tarehe ya makadirio ya kujifungua.
Ujauzito huhesabika umekomaa na mama anaweza kujifungua muda wowote kuanzia wiki ya 37 hadi wiki ya 40, kwani ni asilimia ndogo ya wanawake hufikia tarehe ya makadirio ya kujifungua.
Mtoto anayezaliwa kuanzia wiki hii huwa amekomaa na mwili wake huwa tayari kuishi mazingira ya duniani.
Nini cha kufanya
Fanya mazoezi ya kutayarisha nyonga yako kwa ajili ya leba (kusoma zaidi kuhusu mazoezi ya kujiandaa na leba tembelea.
Majina mengine
Majina mengine yanayoendana na mada hii ni:
Ujauzito wa wiki 37
Mimba ya wiki 37
Wiki 37 ya mimba
Kijusi cha wiki 37
Mwonekano wa ujauzito wa wiki 37
ULY Clinic inakushauri uwasiliane na daktari wako siku zote kabla ya kufanya maamuzi yanayohusisha afya yako
Wasiliana na daktari wa ULY Clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kutumia namba za simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
1 Septemba 2022 18:47:17
Rejea za dawa
American Society for Reproductive Medicine; American College of Obstetricians and Gynecologists' Committee on Gynecologic Practice. Prepregnancy counseling: Committee Opinion No. 762. Fertil Steril. 2019 Jan;111(1):32-42. [PubMed]
Berglund A, et al. Preconception health and care (PHC)-a strategy for improved maternal and child health. Ups J Med Sci. 2016 Nov;121(4):216-221. [PMC free article] [PubMed]
Annadurai K, et al. Preconception care: A pragmatic approach for planned pregnancy. J Res Med Sci. 2017;22:26. [PMC free article] [PubMed]
McClatchey T, et al. Missed opportunities: unidentified genetic risk factors in prenatal care. Prenat Diagn. 2018 Jan;38(1):75-79. [PubMed]
Ko SC, et al. Estimated Annual Perinatal Hepatitis B Virus Infections in the United States, 2000-2009. J Pediatric Infect Dis Soc. 2016 Jun;5(2):114-21. [PubMed]
Tohme RA, et al. Hepatitis B virus infection among pregnant women in Haiti: A cross-sectional serosurvey. J Clin Virol. 2016 Mar;76:66-71. [PMC free article] [PubMed]
Bhavadharini B, et al. Screening and diagnosis of gestational diabetes mellitus - relevance to low and middle income countries. Clin Diabetes Endocrinol. 2016;2:13. [PMC free article] [PubMed]
ACOG Practice Bulletin No. 190 Summary: Gestational Diabetes Mellitus. Obstet Gynecol. 2018 Feb;131(2):406-408. [PubMed]
Rule T, et al. Introducing a new collaborative prenatal clinic model. Int J Gynaecol Obstet. 2019 Mar;144(3):248-251. [PubMed]