top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Maji mengi kwenye chupa ya uzazi

Maji mengi kwenye chupa ya uzazi

Mkojo wa mtoto akiwa tumboni mwa mama ni chanzo kikuu cha uzalishaji wa maji ya chupa ya uzazi, mtoto hupunguza maji haya kwa kunywa. Madhaifu katika tumbo la mtoto na ya mfumo wa fahamu hupelekea maji kuwa mengi.

Kifafa kwenye ujauzito

Kifafa kwenye ujauzito

Dalili za kifafa hutokea sana wakati wa ujauzito katika kipindi cha kwanza kwa takribani asilimia 25 hadi 50 ya wanawake wenye kifafa. Kudhibiti kifafa huambatana na matokeo mazuri kwa mama na mtoto tumboni.

Vyakula wakati wa maandalizi ya kubeba ujauzito

Vyakula wakati wa maandalizi ya kubeba ujauzito

Mlo kamili husaidia kuimarisha afya ya uzazi kwa kuongeza ubora wa mbegu za kiume na mchakato mzima wa uovuleshaji.

Dalili za uchungu wiki ya 42

Dalili za uchungu wiki ya 42

Ukuaji wa tumboni umekamilika na yu tayari kuzaliwa. Maumivu ya mgongo, na tumbo la chini, kutokwa ute mwingi uliochanganyika damu au kumwagika maji mengi ukeni ni miongoni mwa dalili zinazoweza kutokea.

Dalili za uchungu wiki ya 41

bottom of page