Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter r, CO
Dkt. benjamin L, MD
Alhamisi, 18 Novemba 2021

Korosho
Korosho ni mbegu itokanayo na Tunda la Bibo, Ili korosho ipatikane ni lazima ibanguliwe kwenye mbegu inayoapatikana juu ya bibo. Korosho ni zao linalopendwa kutafunwa hiyo ni kutokana na utamu pamoja na ladha yake bila kusahau viinilishe na virutuubisho vinavyopatikana baada ya kulitumia. Korosho hutumiwa Zaidi ikiwa imekaangwa.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye korosho
Stachi
Sukari
Maji
Mafuta
Nyuzilishe
Protini
Madini
Vitamini
Viinilishe vinavyopatikana kwenye korosho yenye gramu 100
Nishati = 553kacl
Stachi = 23.19mg
Sukari = 5.91mg
Nyuzilishe = 3.3g
Mafuta = 43.85
Protini = 18.22g
Maji = 5.20g
Madini yanayopatikana kwenye korosho yenye gramu 100
Magineziamu = 292mg
Manganaizi = 1.66mg
Fosifolasi = 593mg
Madini Chuma = 6.68mg
Kopa = 2.2mg
Kalishiamu = 37mg
Potashiamu = 660mg
Sodiamu = 12mg
Zinki = 5.78mg
Vitamini zinazopatikana kwenye korosho yenye gramu 100
Vitamini B1 = 0.423mg
Vitamini B2 = 0.058mg
Vitamini B3 = 1.062mg
Vitamini B5 = 0.86mg
Vitamini B6 = 0.417mg
Vitamini B9 = 25mcg
Vitamini C = 0.5mg
Vitamini E = 0.90mg
Vitamini K = 34.1mcg
Faida za kiafya zitokanazo na matumizi ya korosho
Kuimarisha kinga ya mwili
Kuimarisha mfumo wa mmemng`enyo wa chakula
Kuimarisha moyo
Imeboreshwa,
18 Novemba 2021, 07:11:06
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
World Agriculture and the Environment", by Jason W. Clay, p. 268
Anacardium occidentale (cashew nut)". CABI. 20 November 2019. Imepitiwa tarehe 2 mwezi wa 11 mwaka 2021.
Morton, Julia F (2017). Cashew apple, Anacardium occidentale L. Fruits of warm climates, Julia F. Morton. Center for New Crops and Plant Products, Department of Horticulture and Landscape Architecture, Purdue University, W. Lafayette, IN. pp. 239–240. ISBN 978-0-9610184-1-2.