Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, CO
Dkt. Benjamin L. MD
Ijumaa, 28 Januari 2022

Ndimu
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Ndimu
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Ndimu
Ndimu ina kemikali muhimu ambazo ni Kaempferol na quercetin.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Ndimu
Nishati = 30kcl
Jumla ya mafuta = 0.2g
Sukari = 1.7g
Kabohaidreti = 10.5g
Nyuzilishe = 2.8g
Protini = 0.7g
Maji = 88.3g
Madini yanayopatikana kwenye Gramu 100 za Ndimu
Madini chuma = 0.6mg
Kalishiamu = 33mg
Magineziamu = 6mg
Fosiforasi = 18mg
Potashiamu = 10mg
Sodiamu = 2mg
Vitamini zinazopatikana kwenye gramu 100 za Ndimu
Vitamin A = 3mcg
Vitamini B1 = 0.03mg
Vitamini B2 = 0.02mg
Vitamini B3 = 0.2mg
Vitamini B5 = 0.217mg
Vitamini B6 =0.046mg
Vitamini B9 = 8mcg
Vitamini C = 29mg
Faida ulaji wa Ndimu
Huongeza na kuimarisha kinga ya mwili
Hupunguza kasi ya kupatwa na magonjwa wa moyo
Huzuia kufanyika kwa mawe kwenye figo
Huimarisha afya ya ngozi na kuifanya kuwa angavu
Husaidia kufyonzwa kwa madini chuma mwilini
Imeboreshwa,
28 Januari 2022, 11:50:35
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Lime, nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Limes%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa 3.12.2021
Sun Y, Qiao L, Shen Y, Jiang P, Chen J, Ye X. Phytochemical profile and antioxidant activity of physiological drop of citrus fruits. J Food Sci. 2013 Jan;78(1):C37-42. doi: 10.1111/j.1750-3841.2012.03002.x. PMID: 23301602. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/23301602/. Imechukuliwa 3.12. 2021
Li WQ, Kuriyama S, Li Q, Nagai M, Hozawa A, Nishino Y, Tsuji I. Citrus consumption and cancer incidence: the Ohsaki cohort study. Int J Cancer. 2010;127:1913–1922. doi: 10.1002/ijc.25203. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC4690266/. Imechukuliwa 3.12. 2021