Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. PEter R, CO
Dkt. Benjamin L, MD
Jumapili, 27 Machi 2022
Pilipili hoho
Pilipili Hoho ni tunda lilopatikana kwenye kundi la mbogamboga kutoka kwenye familia ya Solanaceae, mbali na kuongeza ladha kwenye chakula, pilipili hoho inafaida nyingi kwa miili yetu hiyo ni kutokana na uwepo wa virutubisho na madini kwa ukuaji wa afya za mwanadamu.
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Pilipili Hoho
Mafuta
Madini
Sukari
Nyuzilishe
Protini
Vitamini
Kabohaidreti
Maji
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Pilipili Hoho
Kwenye pilipili Hoho kuna Kemikali Muhimu ziitwazo Capsaicin na Ascorbic Acid
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Pilipili Hoho yenye gramu 100
Nishati = 20kcal
Mafuta = 0.2g
Maji = 93.89g
Kabohaidreti = 4.6g
Sukari = 2.4g
Nyuzilishe = 1.7g
Protini = 0.9g
Vitamini zinazopatikana kwenye Pilipili Hoho yenye gramu 100
Vitamini A = 18mcg
Vitamini B1 = 0.057mg
Vitamini B2 = 0.028mg
Vitamini B3 = 0.480mg
Viatmini B5 = 0.99mg
Vitamini B6 = 0.224mg
Vitamini B9 = 10mcg
Vitamini C = 80mg
Vitamini E =0.37mg
Vitamini K = 7.4mg
Madini yanayopatikana kwenye Pilipili Hoho yenye gramu 100
Kalishiamu = 10mg
Kopa = 0.07mg
Floraidi = 2mcg
Madini Chuma = 0.34mg
Magineziamu = 10mg
Manganaizi = 0.122mg
Fosifolasi = 20mg
Potashiamu = 175mg
Sodiamu = 3mg
Zinki = 0.13mg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Pilipili Hoho
Kupunguza maumivu yatokanayo na magonjwa ya muda mrefu mfano maumivu yatokanayo na saratani
Husaidia kutibu vidonda vya tumbo, ugonjwa wa kuharisha , kikohozi, vidonda vya koo pamoja na meno.
Huimarisha mfumo wa damu na hivyo kupunguza athari za kupatwa na ugonjwa wa moyo
Hushusha sukari na kuweka msawazo wa sukari mwilini pamoja na kuzuia ugonjwa wa kisukari
Kuimarisha kinga ya mwili, kusaidia kuongeza hamu ya kula
Huimarisha na kuifanya ngozi ing`ae
Hupunguza changamoto zitokanazo na ukomo wa hedhi kwa wanawake
Imeboreshwa,
14 Mei 2022, 22:11:19
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Peppers. https://www.nutritionvalue.org/Peppers%2C_raw%2C_green%2C_sweet_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 10 January 2022.
Dutta A, Deshpande SB. Mechanisms underlying the hypertensive response induced by capsaicin. Int J Cardiol. 2010 Nov 19;145(2):358-359. doi: 10.1016/j.ijcard.2010.02.034. Epub 2010 Mar 11. PMID: 20223533. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/20223533/. Imechukuliwa tarehe 10 January 2022.
Maji AK, Banerji P. Phytochemistry and gastrointestinal benefits of the medicinal spice Capsicum annuum L.(Chilli):a review. J Complement Integr Med. 2016;13:97–122. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6000222/. Imechukuliwa tarehe 10 January 2022.