Ufuta ni mbegu zitokanazo na mmea wa ufuta mmea wa maua unatokao kwenye kundi la sesamum. Mbegu za hizi zinafaida lukuki kwa afya ya mlaji hiyo ni kutokana na virutubisho ilivyonavyo.
Tanipu ni zao la mbogamboga litokanalo na mizizi kutoka katika familia ya Brasssicaceae. Zao hili hutumika kama chakula/mboga baada ya kupikwa ili kupata faida inayotakiwa.