top of page
Tatizo la figo kufeli ghafla
Imeandikwa na madaktari wa uly clinic
Hutokea endapo kiwango cha damu kinachoingia katika figo kimepungua ama kunakitu kimefunga mmirija ya figo kutoa mkojo nnje ya mwili ama kukiwa na ugonjwa wowote ndani ya figo.
Endelea kusoma kwa kubonyeza unachokihitaji kuhusu Dalili, Visababishi, Vihatarishi, Matibabu
Imechapishwa 3/3/2016
Imeboreshwa 21/11/2020
bottom of page