Kusinyaa au msinyao wa ngozi ni upotevu wa tishu unaoweza kuathiri epidermis, dermis au mafuta chini ya ngozi. Kupungua kwa upana wa epidemis ni moja ya sifa ya kusinyaa kwa ngozi na huweza kupelekea mkunjamano mdogo wa ngozi, kupotea kwa rangi ngozi kupitisha mwanga.
Kunaweza kukawa na mabadilkko mengine hata hivyo kama kuganda kwa tishu unganishi, telangiektasia (ongezeko la mishipa midogo ya damu) au kupungua kwa kiwango cha damu kinachoingia kwenye ngozi.
Kusinyaa hufahamika pia kama atrofi